MAJINA YA ALLAH NA FAIDA ZAKE
1. يَا رَحْمَٰنُ يَا رَحِيمُMatamshi: Yaa Rahmaan, Yaa RahiimMaana: Ewe Mwingi wa Rehema, Mwingi wa HurumaFaida: Hupata huruma ya Allah duniani na Akhera, na moyo hupata utulivu. 2. يَا مَلِكُ يَا قُدُّوسُMatamshi: Yaa Malik, Yaa QudduusMaana: Ewe Mfalme, Ewe MtakatifuFaida: Huweka heshima ya mja mbele ya Allah, na humtakasa na…