MAJINA YA ALLAH NA FAIDA ZAKE
1. يَا رَحْمَٰنُ يَا رَحِيمُ
Matamshi: Yaa Rahmaan, Yaa Rahiim
Maana: Ewe Mwingi wa Rehema, Mwingi wa Huruma
Faida: Hupata huruma ya Allah duniani na Akhera, na moyo hupata utulivu.
2. يَا مَلِكُ يَا قُدُّوسُ
Matamshi: Yaa Malik, Yaa Qudduus
Maana: Ewe Mfalme, Ewe Mtakatifu
Faida: Huweka heshima ya mja mbele ya Allah, na humtakasa na madhambi.
3. يَا سَلَامُ يَا مُؤْمِنُ
Matamshi: Yaa Salaam, Yaa Mu’min
Maana: Ewe Mwenye Amani, Ewe Mlinzi wa Imani
Faida: Hupata amani ya moyo na kulindwa na hofu na shari.
4. يَا عَزِيزُ يَا جَبَّارُ
Matamshi: Yaa ‘Aziiz, Yaa Jabbaar
Maana: Ewe Mwenye Nguvu, Ewe Mshindi
Faida: Humpa mja nguvu dhidi ya maadui na kumfanya aepuke udhalili.
5. يَا خَالِقُ يَا بَارِئُ
Matamshi: Yaa Khaaliq, Yaa Baari’
Maana: Ewe Muumbaji, Ewe Mwenye kutengeneza kwa mpangilio
Faida: Humfanya mja atambue ukubwa wa Allah na kujinyenyekeza.
6. يَا غَفَّارُ يَا تَوَّابُ
Matamshi: Yaa Ghaffaar, Yaa Tawwaab
Maana: Ewe Mwenye kusamehe sana, Ewe Mwenye kupokea toba
Faida: Humfutia mja madhambi na kumfungulia mlango wa rehema.
7. يَا رَزَّاقُ يَا وَهَّابُ
Matamshi: Yaa Razzaaq, Yaa Wahhaab
Maana: Ewe Mruzuku, Ewe Mtoaji wa bure
Faida: Humletea mja riziki halali na zawadi zisizotarajiwa.
8. يَا عَلِيمُ يَا حَكِيمُ
Matamshi: Yaa ‘Aliim, Yaa Hakiim
Maana: Ewe Mwenye Elimu yote, Ewe Mwenye Hekima
Faida: Humfungulia mja uelewa na maamuzi ya hekima.
9. يَا سَمِيعُ يَا بَصِيرُ
Matamshi: Yaa Samii’, Yaa Basiir
Maana: Ewe Mwenye Kusikia, Ewe Mwenye Kuona
Faida: Humtia mja hofu ya kweli ya Allah na kumuongezea uangalifu.
10. يَا حَيُّ يَا قَيُّومُ
Matamshi: Yaa Hayyu, Yaa Qayyoom
Maana: Ewe Aliye Hai Milele, Mwenye kusimamia kila kitu
Faida: Hufufua moyo wa mja na kumpa msaada usioisha.
11. الْجَبَّارُ
Matamshi: Al-Jabbār
Maana: Mwenye Nguvu na Utukufu
Faida: Humpa mja hifadhi na nguvu katika shida.
12. الْمُتَكَبِّرُ
Matamshi: Al-Mutakabbir
Maana: Mwenye Kujivuna kwa Haki
Faida: Kumkumbuka humuinua mja na kumfanya ajiepushe na kiburi haramu.
13. الْخَالِقُ
Matamshi: Al-Khāliq
Maana: Muumbaji
Faida: Humkumbusha mja nafasi yake mbele ya Muumba, na humletea heshima na unyenyekevu.
14. الْبَارِئُ
Matamshi: Al-Bāriʼ
Maana: Muumba wa viumbe kwa ukamilifu
Faida: Hufungua akili ya mja kuona uumbaji wa Allah na kumsujudia kwa khushuu.
15. الْمُصَوِّرُ
Matamshi: Al-Musawwir
Maana: Mwenye kuumba maumbo
Faida: Humfanya mja awe na ridhaa na maumbile yake.
16. الْغَفَّارُ
Matamshi: Al-Ghaffār
Maana: Mwingi wa kusamehe
Faida: Hupatikana msamaha wa dhambi kubwa na ndogo.
17. الْقَهَّارُ
Matamshi: Al-Qahhār
Maana: Mshindi wa kila kitu
Faida: Humfanya mja awe na hofu ya Allah na kuepuka maasi.
18. الْوَهَّابُ
Matamshi: Al-Wahhāb
Maana: Mtoaji wa bure
Faida: Humpa mja fadhila na neema bila hisabu.
19. الرَّزَّاقُ
Matamshi: Ar-Razzāq
Maana: Mruzuku
Faida: Huzidisha riziki na kufungua milango ya baraka.
20. الْفَتَّاحُ
Matamshi: Al-Fattāḥ
Maana: Mfunguliaji
Faida: Hufungua milango ya mafanikio na wepesi katika maisha.
21. اَلْعَلِيْمُ
Matamshi: Al-‘Alīm
Maana: Mjuzi wa kila jambo
Faida: Humjenga mja kuwa na uaminifu na kumcha Allah kwa kujua anajua yote.
22. الْقَابِضُ
Matamshi: Al-Qābiḍ
Maana: Mwenye Kunyima
Faida: Humfanya mja awe na subira na kuridhika anapokumbwa na upungufu.
23. الْبَاسِطُ
Matamshi: Al-Bāsit
Maana: Mwenye Kupanua
Faida: Humletea mja faraja, furaha, na upanuzi wa riziki.
24. الْخَافِضُ
Matamshi: Al-Khāfiḍ
Maana: Mshushaji
Faida: Humkumbusha mja kuwa cheo ni kwa Allah tu, na kuacha kiburi.
25. الرَّافِعُ
Matamshi: Ar-Rāfiʿ
Maana: Mwenye Kunyanyua
Faida: Humwinua mja mwenye tawadhuu kwa daraja za juu duniani na akhera.
26. الْمُعِزُّ
Matamshi: Al-Muʿizz
Maana: Mwenye Kutoa heshima
Faida: Humfanya mja aheshimike mbele ya watu na mbele ya Allah.
27. المُذِلُّ
Matamshi: Al-Mudhill
Maana: Mwenye Kudhalilisha
Faida: Humfundisha mja kuwa ushindi wa haki hutoka kwa Allah, wala si kwa nguvu ya mja.
28. السَّمِيعُ
Matamshi: As-Samīʿ
Maana: Mwenye Kusikia
Faida: Humtia mja adabu katika maneno na dua, akijua Allah anasikia kila kitu.
29. الْبَصِيرُ
Matamshi: Al-Baṣīr
Maana: Mwenye Kuona
Faida: Humfanya mja awe na muraqaba (kujichunga) na kuepuka maovu hata faraghani.
30. الْحَكَمُ
Matamshi: Al-Ḥakam
Maana: Mwenye Kuhukumu
Faida: Humtia mja matumaini kuwa haki itatendeka na dhulma haitadumu.
31. الْعَدْلُ
Matamshi: Al-‘Adl
Maana: Mwenye Haki
Faida: Humfanya mja awe mwenye uadilifu kwa watu wote bila upendeleo.
32. اللَّطِيفُ
Matamshi: Al-Laṭīf
Maana: Mwingi wa Fadhila na Upole
Faida: Humletea mja faraja na msaada kwa njia zisizotarajiwa.
33. الْخَبِيرُ
Matamshi: Al-Khabīr
Maana: Mwenye Khabari zote
Faida: Humtia mja hofu ya Allah kwa kujua anajua yaliyo wazi na yaliyofichika.
34. الْحَلِيمُ
Matamshi: Al-Ḥalīm
Maana: Mwenye Subira
Faida: Humfundisha mja kuwa mvumilivu na mwenye kusamehe.
35. الْعَظِيمُ
Matamshi: Al-‘Aẓīm
Maana: Aliye Mkuu
Faida: Humfanya mja awe na taqwa na utulivu wa moyo kwa kumtukuza Allah.
36. الْغَفُورُ
Matamshi: Al-Ghafūr
Maana: Mwingi wa Maghufira
Faida: Kumwomba husababisha kusamehewa madhambi kwa wingi.
37. الشَّكُورُ
Matamshi: Ash-Shakūr
Maana: Mwenye Kushukuru
Faida: Humzidishia mja fadhila kwa matendo madogo mema anayofanya.
38. الْعَلِيُّ
Matamshi: Al-‘Aliyy
Maana: Aliye Juu
Faida: Humfanya mja awe na unyenyekevu na kutojitukuza.
39. الْكَبِيرُ
Matamshi: Al-Kabīr
Maana: Aliye Mkuu
Faida: Humtuliza mja katika shida kwa kujua Allah ni mkubwa kuliko tatizo lolote.
40. الْحَفِيظُ
Matamshi: Al-Ḥafīẓ
Maana: Mwenye Kuhifadhi
Faida: Humpa mja ulinzi dhidi ya maadui, ajali, na shari kwa kumkumbuka.
31. الْعَدْلُ
Matamshi: Al-‘Adl
Maana: Mwenye Haki
Faida: Humfanya mja awe mwenye uadilifu kwa watu wote bila upendeleo.
32. اللَّطِيفُ
Matamshi: Al-Laṭīf
Maana: Mwingi wa Fadhila na Upole
Faida: Humletea mja faraja na msaada kwa njia zisizotarajiwa.
33. الْخَبِيرُ
Matamshi: Al-Khabīr
Maana: Mwenye Khabari zote
Faida: Humtia mja hofu ya Allah kwa kujua anajua yaliyo wazi na yaliyofichika.
34. الْحَلِيمُ
Matamshi: Al-Ḥalīm
Maana: Mwenye Subira
Faida: Humfundisha mja kuwa mvumilivu na mwenye kusamehe.
35. الْعَظِيمُ
Matamshi: Al-‘Aẓīm
Maana: Aliye Mkuu
Faida: Humfanya mja awe na taqwa na utulivu wa moyo kwa kumtukuza Allah.
36. الْغَفُورُ
Matamshi: Al-Ghafūr
Maana: Mwingi wa Maghufira
Faida: Kumwomba husababisha kusamehewa madhambi kwa wingi.
37. الشَّكُورُ
Matamshi: Ash-Shakūr
Maana: Mwenye Kushukuru
Faida: Humzidishia mja fadhila kwa matendo madogo mema anayofanya.
38. الْعَلِيُّ
Matamshi: Al-‘Aliyy
Maana: Aliye Juu
Faida: Humfanya mja awe na unyenyekevu na kutojitukuza.
39. الْكَبِيرُ
Matamshi: Al-Kabīr
Maana: Aliye Mkuu
Faida: Humtuliza mja katika shida kwa kujua Allah ni mkubwa kuliko tatizo lolote.
40. الْحَفِيظُ
Matamshi: Al-Ḥafīẓ
Maana: Mwenye Kuhifadhi
Faida: Humpa mja ulinzi dhidi ya maadui, ajali, na shari kwa kumkumbuka.
31. الْعَدْلُ
Matamshi: Al-‘Adl
Maana: Mwenye Haki
Faida: Humfanya mja awe mwenye uadilifu kwa watu wote bila upendeleo.
32. اللَّطِيفُ
Matamshi: Al-Laṭīf
Maana: Mwingi wa Fadhila na Upole
Faida: Humletea mja faraja na msaada kwa njia zisizotarajiwa.
33. الْخَبِيرُ
Matamshi: Al-Khabīr
Maana: Mwenye Khabari zote
Faida: Humtia mja hofu ya Allah kwa kujua anajua yaliyo wazi na yaliyofichika.
34. الْحَلِيمُ
Matamshi: Al-Ḥalīm
Maana: Mwenye Subira
Faida: Humfundisha mja kuwa mvumilivu na mwenye kusamehe.
35. الْعَظِيمُ
Matamshi: Al-‘Aẓīm
Maana: Aliye Mkuu
Faida: Humfanya mja awe na taqwa na utulivu wa moyo kwa kumtukuza Allah.
36. الْغَفُورُ
Matamshi: Al-Ghafūr
Maana: Mwingi wa Maghufira
Faida: Kumwomba husababisha kusamehewa madhambi kwa wingi.
37. الشَّكُورُ
Matamshi: Ash-Shakūr
Maana: Mwenye Kushukuru
Faida: Humzidishia mja fadhila kwa matendo madogo mema anayofanya.
38. الْعَلِيُّ
Matamshi: Al-‘Aliyy
Maana: Aliye Juu
Faida: Humfanya mja awe na unyenyekevu na kutojitukuza.
39. الْكَبِيرُ
Matamshi: Al-Kabīr
Maana: Aliye Mkuu
Faida: Humtuliza mja katika shida kwa kujua Allah ni mkubwa kuliko tatizo lolote.
40. الْحَفِيظُ
Matamshi: Al-Ḥafīẓ
Maana: Mwenye Kuhifadhi
Faida: Humpa mja ulinzi dhidi ya maadui, ajali, na shari kwa kumkumbuka.
41. الْمُقِيتُ
Matamshi: Al-Muqīt
Maana: Mwenye Kutoa riziki na nguvu
Faida: Humletea mja msaada wa kimwili na kiroho.
42. اﻟْحَسِيبُ
Matamshi: Al-Ḥasīb
Maana: Mwenye Kutosha na Kuhisabu
Faida: Humtuliza mja kuwa Allah atamlipa kwa haki na kutosha mahitaji yake.
43. الْجَلِيلُ
Matamshi: Al-Jalīl
Maana: Mwenye Utukufu
Faida: Huchochea mja kumtukuza na kumheshimu Allah.
44. الْكَرِيمُ
Matamshi: Al-Karīm
Maana: Mkarimu
Faida: Humfanya mja awe mkarimu na mwenye matumaini kwa Allah.
45. الرَّقِيبُ
Matamshi: Ar-Raqīb
Maana: Mwenye Kuchunga
Faida: Humjenga mja kuwa mwangalifu katika kila tendo lake.
46. الْمُجِيبُ
Matamshi: Al-Mujīb
Maana: Mwenye Kujibu maombi
Faida: Humtia mja hamasa ya kuomba dua kwa matumaini.
47. الْوَاسِعُ
Matamshi: Al-Wāsiʿ
Maana: Mwenye Wasaa
Faida: Humpa mja matumaini ya kupata rehema zisizo na mipaka.
48. الْحَكِيمُ
Matamshi: Al-Ḥakīm
Maana: Mwenye Hekima
Faida: Humfundisha mja kuwa na subira, kwani kila kitu kina hekima ya Allah.
49. الْوَدُودُ
Matamshi: Al-Wadūd
Maana: Mwenye Kumpenda mja Wake
Faida: Humtia mja upendo na mapenzi ya kweli kwa Allah.
50. الْمَجِيدُ
Matamshi: Al-Majīd
Maana: Mwenye Utukufu Mkuu
Faida: Humfanya mja amtukuze Allah na amuombe kwa heshima.
51. الْحَقُ
Matamshi: Al-Haqq
Maana: Aliye wa haki
Faida: Humtia mja ujasiri wa kusimama na haki bila hofu.
52. الْوَكِيلُ
Matamshi: Al-Wakiil
Maana: Mwenye kutegemewa
Faida: Humfundisha mja kumtegemea Allah katika kila jambo la maisha.
53. الْقَوِيُ
Matamshi: Al-Qawiyy
Maana: Mwenye nguvu
Faida: Humtia mja moyo wa nguvu kwa kuwa anaegemea kwa Mwenye nguvu zote.
54. الْمَتِينُ
Matamshi: Al-Matiin
Maana: Mwenye nguvu ya kudumu
Faida: Humtia mja subira na ustahimilivu kwa msaada wa Allah.
55. الْوَلِيُّ
Matamshi: Al-Waliyy
Maana: Rafiki na mlinzi
Faida: Humtia mja faraja kuwa Allah ndiye rafiki na mlinzi wa kweli.
56. الْحَمِيدُ
Matamshi: Al-Hamiid
Maana: Mwenye kustahiki sifa zote
Faida: Humfanya mja kuwa mwenye shukrani na sifa kwa Allah kila wakati.
57. الْمُحْصِي
Matamshi: Al-Muhswi
Maana: Mwenye kuhesabu kila kitu
Faida: Humfundisha mja kuwa makini na matendo yake.
58. الْمُبْدِئُ
Matamshi: Al-Mubdi’
Maana: Mwenye kuanzisha uumbaji
Faida: Humtia mja imani kwamba kila mwanzo wa jambo upo kwa Allah.
59. ٱلْمُعِيدُ
Matamshi: Al-Mu’iid
Maana: Mwenye kurejesha
Faida: Huhimiza mja kutubu na kurekebisha hali kwani Allah huleta mambo upya.
60. الْمُحْيِي
Matamshi: Al-Muhyii
Maana: Mwenye kuhuisha
Faida: Humtia mja matumaini hata kwenye hali ya mwisho au ugumu wa maisha.
61. ٱلْمُمِيتُ
Matamshi: Al-Mumiit
Maana: Mwenye kutoa mauti
Faida: Humfundisha mja kuwa maisha ni ya muda na ya Allah.
62. الْحَيُّ
Matamshi: Al-Hayy
Maana: Aliye hai milele
Faida: Humtia mja matumaini kuwa Allah haondoki wala hasahau.
63. الْقَيُّومُ
Matamshi: Al-Qayyuum
Maana: Mwenye kusimamia kila kitu
Faida: Humfanya mja kutegemea Allah kwa kila jambo.
64. الْوَاجِدُ
Matamshi: Al-Waajid
Maana: Mwenye kujua kila kitu kilichopotea au kilichofichika
Faida: Humtia mja hofu na uchaji kwa Allah.
65. الْمَاجِدُ
Matamshi: Al-Maajid
Maana: Mwenye utukufu na wema
Faida: Humtia mja moyo wa kumtukuza Allah.
66. الْواحِدُ
Matamshi: Al-Waahid
Maana: Mmoja
Faida: Humfundisha mja kuwa hakuna mwingine wa kuabudiwa ila Allah.
67. اَلاَحَدُ
Matamshi: Al-Ahad
Maana: Mmoja wa kipekee
Faida: Humfundisha mja kuwa Allah hana mshirika wala mfano.
68. الصَّمَدُ
Matamshi: As-Swamad
Maana: Mwenye kutegemewa
Faida: Humfundisha mja kumtegemea Allah pekee.
69. الْقَادِرُ
Matamshi: Al-Qaadir
Maana: Mwenye uwezo
Faida: Humtia mja matumaini kuwa hakuna lisilowezekana kwa Allah.
70. الْمُقْتَدِرُ
Matamshi: Al-Muqtadir
Maana: Mwenye nguvu kamili
Faida: Humtia mja nguvu ya kuamini uwezo wa Allah.
71. الْمُقَدِّمُ
Matamshi: Al-Muqaddim
Maana: Mwenye kuleta mbele
Faida: Humfundisha mja kuwa vyeo na nafasi ni mipango ya Allah.
72. الْمُؤَخِّرُ
Matamshi: Al-Mu’akhkhir
Maana: Mwenye kuchelewesha
Faida: Humtia mja subira na kumwamini Allah katika muda wa mambo.
73. الأوَّلُ
Matamshi: Al-Awwal
Maana: Wa kwanza
Faida: Humkumbusha mja kuwa kila mwanzo ni kwa amri ya Allah.
74. الآخِرُ
Matamshi: Al-Aakhir
Maana: Wa mwisho
Faida: Humkumbusha mja kuwa mwisho wa yote ni kwa Allah.
75. الظَّاهِرُ
Matamshi: Az-Zwaahir
Maana: Aliye dhahiri
Faida: Humtia mja imani kuwa dalili za uwepo wa Allah zipo kila mahali.
76. الْبَاطِنُ
Matamshi: Al-Baatwin
Maana: Aliye fiche
Faida: Humtia mja unyenyekevu kuwa hata la siri linajulikana na Allah.
77. الْوَالِي
Matamshi: Al-Waaliy
Maana: Mwenye kushikilia mambo
Faida: Humtia mja utulivu kuwa Allah ndiye anayesimamia kila jambo.
78. الْمُتَعَالِي
Matamshi: Al-Muta‘aalii
Maana: Aliye juu kabisa
Faida: Humfundisha mja kuwa hakuna aliye juu zaidi ya Allah.
79. الْبَرُّ
Matamshi: Al-Barr
Maana: Mwenye wema mwingi
Faida: Humtia mja matumaini ya wema na msamaha wa Allah.
80. التَّوَابُ
Matamshi: At-Tawwaab
Maana: Mwenye kupokea toba
Faida: Humtia mja moyo wa kutubu kila wakati.
81. الْمُنْتَقِمُ
Matamshi: Al-Muntaqim
Maana: Mwenye kulipiza kisasi
Faida: Humfanya mja ajiepushe na dhambi na uonevu.
82. العَفُوُ
Matamshi: Al-‘Afuww
Maana: Mwenye kusamehe kabisa
Faida: Humtia mja moyo wa kutarajia msamaha wa kweli.
83. الرَّؤُوفُ
Matamshi: Ar-Ra’uuf
Maana: Mwenye huruma ya hali ya juu
Faida: Humtia mja faraja na upendo kutoka kwa Allah.
84. مَالِكُ الْمُلْكِ
Matamshi: Maalikul-Mulk
Maana: Mwenye umiliki wa Ufalme wote
Faida: Humtia mja imani kuwa Allah ndiye mmiliki wa dunia na Akhera.
85. ذُوالْجَلاَلِ وَالإكْرَامِ
Matamshi: Dhul-Jalaali wal-Ikraam
Maana: Mwenye utukufu na ukarimu
Faida: Humtia mja moyo wa kumtukuza na kumcha Allah.
86. الْمُقْسِطُ
Matamshi: Al-Muqsit
Maana: Mwenye uadilifu
Faida: Humtia mja moyo wa kuwa mwadilifu.
87. الْجَامِعُ
Matamshi: Al-Jaami‘
Maana: Mwenye kukusanya
Faida: Humtia mja imani kuwa Allah atawakusanya waja wote kwa ajili ya hesabu.
88. الْغَنِيُّ
Matamshi: Al-Ghaniyy
Maana: Mwenye utajiri usiohitaji
Faida: Humfundisha mja kutotegemea viumbe bali Allah.
89. الْمُغْنِيُ
Matamshi: Al-Mughniy
Maana: Mwenye kuwatajirisha
Faida: Humtia mja moyo wa kutafuta riziki kwa halali.
90. الْمَانِعُ
Matamshi: Al-Maani‘
Maana: Mwenye kuzuia
Faida: Humtia mja imani kuwa kizuizi chochote ni kwa hekima ya Allah.
91. الضَّارَ
Matamshi: Ad-Dwaarr
Maana: Mwenye kudhuru (kwa hekima)
Faida: Humfanya mja awe na subira kwa majaribu ya Allah.
92. النَّافِعُ
Matamshi: An-Naafi‘
Maana: Mwenye kufanikisha na kuleta manufaa
Faida: Humtia mja moyo wa kutarajia kheri kutoka kwa Allah.
93. النُّورُ
Matamshi: An-Nuur
Maana: Nuru
Faida: Humtia mja mwanga wa maisha kwa imani.
94. الْهَادِي
Matamshi: Al-Haadiy
Maana: Mwenye kuongoza
Faida: Humtia mja moyo wa kumuomba Allah amwongoze kwenye haki.
95. الْبَدِيعُ
Matamshi: Al-Badii‘
Maana: Mwenye kuumba bila mfano
Faida: Humfanya mja kumtukuza Allah kwa ubunifu Wake.
96. الْبَاقِي
Matamshi: Al-Baaqiy
Maana: Aliyebaki milele
Faida: Humkumbusha mja kuwa maisha ya duniani ni ya muda.
97. الْوَارِثُ
Matamshi: Al-Waarith
Maana: Mrithi wa kila kitu
Faida: Humtia mja moyo wa kuacha mali kwa ajili ya Allah.
98. الرَّشِيدُ
Matamshi: Ar-Rashiid
Maana: Mwenye kuongoza kwenye haki
Faida: Humtia mja moyo wa kumuomba Allah muongozo sahihi.
99. الصَّبُورُ
Matamshi: As-Sabuur
Maana: Mwenye subira
Faida: Humfundisha mja kuwa na subira katika mitihani ya maisha.